Posted By Posted On

Ameandika @antonionugaz . . Huu ni wakati ambao wanayanga Wote tunatakiwa Kuwa wamoja na wastahamilivu kutokana na matokeo amba…

Ameandika @antonionugaz
.
.
Huu ni wakati ambao wanayanga Wote tunatakiwa Kuwa wamoja na wastahamilivu kutokana na matokeo ambayo hayatuvutii sote na hata ninyi wanachama,wapenzi na Mashabiki.

Kipindi hiki Cha kupambana ni lazima tujue kuwa tunaendelea kujenga kikosi Cha ushindani jambo ambalo linahitaji MUDA.

Siku zote Hatuwezi kupata furaha,zipo nyakati za majonzi ambazo tunatakiwa tuchukue Kuwa ni FUNZO ili tuweze kujirekebisha kwa michezo ya mbele.

Siku zote “Mvua ikinyesha lazima utaona panapovuja”

#subiranimuhimusana
#mapambanoyanaendelea
#daimambelenyumamwiko

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *