Posted By Posted On

#CAFCL Al Merreikh Vs Simba Sc Mnyama Simba SC Tanzania leo saa 10:00 jioni yupo ugenini nchini Sudan kuwavaa Al Merrikh. Ni …

#CAFCL Al Merreikh Vs Simba Sc

Mnyama Simba SC Tanzania leo saa 10:00 jioni yupo ugenini nchini Sudan kuwavaa Al Merrikh.

Ni mechi ambayo Simba SC wakishinda itakuwa wamepata pointi sita ugenini katika duru ya kwanza ya makundi huku wakijikita kileleni.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *