Posted By Posted On

#CAFCL AL MERREIKH VS SIMBA SC “Nafikiri kama tutakuwa tumeshinda tutaingia mguu mmoja katika hatua ya robo fainali hivyo kesho…

#CAFCL AL MERREIKH VS SIMBA SC

“Nafikiri kama tutakuwa tumeshinda tutaingia mguu mmoja katika hatua ya robo fainali hivyo kesho nitakuwa na kikao na wachezaji wangu kwa ajili ya kufanya tathmini ya wapinzani wetu kabla ya mchezo”

“Nafikiri tutakuwa na muendelezo wa mchezo mzuri kama tulivyofanya dhidi ya Al Ahly na mchezo uliofuata wa ligi dhidi ya JKT”- Kocha wa Klabu ya #Simba Diddier Gomes.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *