Posted By Posted On

Timeline Photos

Leo Jumamosi @ligikuutanzaniabara kuendelea tena katika viwanja vitatu.

Kule kagera @kagerasugarfcofficial wakiwa wametoka kupoteza mchezo uliopita saa 8:00 mchana kuwaalika @namungofc ambao wameshinda mchezo wao uliopita.
Je leo ni Kagera ama Namungo nani kuondoka na alama 3?

Kule shinyanga, @mwaduifcofficial wakiwa wanataabika mkiani mwa msimamo kuwakaribisha Matajri wa Chamazi @azamfcofficial .
Je mwana wa mfalme @mgadafiprince.73 kuendelea kuwa rafiki wa nyavu ama wachimba almasi kumzuia asifanye yake?

Kule pwani, @ruvushootingfootballltd akiwa wametoka kupoteza mchezo uliopita kupepetana na JKT Tanzania, Je Ruvu Shooting watapapaswa tena nyumbani kwao ama kumaliza hasira kwa JKT?

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *