Posted By Posted On

ARTETA AWATAJA WATAKAOPIGWA PANGA ARSENAL Mikel Arteta ameapa kuwapiga panga chezaji wa Arsenal ambao wanajifanya kama aapo l…

ARTETA AWATAJA WATAKAOPIGWA PANGA ARSENAL

Mikel Arteta ameapa kuwapiga panga chezaji wa Arsenal ambao wanajifanya kama aapo likizo baada ya mkali wa zamani wa timu hiyo, Emmanuel Petit kukiponda kikosi cha ‘The Gunners’.

Mwisho wa msimu, ningekuwa mimi ni Arsenal, nigekuwa Arteta, au nipo kwenye bodi, kuwa mkweli kwako, nadhani ningeshughulikia karibu nusu ya chumba cha kubadilishia nguo, Swali ni rahisi; ukiangalia ni wachezaji wangapi wa Arsenal unaweza kusema ‘wao ni bora kwenye ligi’? Alisema Petit.

Arteta ameuchukua ushauri wa Petit kwa kusema atawaondoa watu ambao hawajitumi kwa heshima ya beji ya klbau hiyo.

Kuonyesha shauku kunakwenda na mhusika. Watu ambao wamabao wako tayari huonyesha kwa kwa hisia na lugha yao ya mwili. Kwa kweli, wachezaji ambao hawana shauku hiyo, hisia hizo na kujitolea, hawatakuwa katika klabu hii. ” alisema Arteta.

Kuwa mmoja wa washindi wa 1,000,000 za SHINDA XTRA ukibet Mara kibao na @mbet_tz

#KitengetvUpfates

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *