Posted By Posted On

Baada ya kusimama kwa muda kupisha kalenda ya FIFA na Maombolezo ya JPM, hatimaye leo VPL itaendelea kwa michezo miwili kwenye v…

Baada ya kusimama kwa muda kupisha kalenda ya FIFA na Maombolezo ya JPM, hatimaye leo VPL itaendelea kwa michezo miwili kwenye viwanja tofauti.

Namungo FC vs Ihefu SC
Mbeya City va Kagera Sugar

Kocha msaidizi wa Namungo FC amesema timu yao kushiriki michuano ya kimataifa haimaanishi ni bora sana bali wanaiheshimu Ihefu ambayo inapambana isishuke daraja.

“Timu ya Inefu ipo chini kwenye msimamo wa ligi lakini Namungo kucheza michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika haimaanishi sisi ndio bora kuliko wengine. Tunachohitaji ni kucheza vizuri na kupata matokeo mazuri.”

“Tutamkosa beki wetu Stephen Duah ambaye amepata majeraha kwenye mguu lakini wachezaji wengine wote wapo sawa.”

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *