
#DealDone Mamelod Sundowns imemsajili Sipho Mbule toka klabu ya Supersport , Sipho amesaini kandarasi ya miaka 5 na atajiunga n…
#DealDone
Mamelod Sundowns imemsajili Sipho Mbule toka klabu ya Supersport , Sipho amesaini kandarasi ya miaka 5 na atajiunga na Masandawana msimu huu utakapomalizika.
Awali Mbule alitaka kusaini Kaizer Chief lakini Mamelod akavamia dili barabarani.
#sportskitaatv #Talentonlinetv
,
Comments (0)