Posted By Posted On

Kamati ya Maadili TFF inatakiwa ifanye kazi yake kwa uadilifu. Adhabu ya Mwakalebela haina uadilifu. Ili apatikane na hatia ilib…

Kamati ya Maadili TFF inatakiwa ifanye kazi yake kwa uadilifu. Adhabu ya Mwakalebela haina uadilifu. Ili apatikane na hatia ilibidi Kamati ya Maadili ijiridhishe bila shaka kwamba maneno ya Mwakalebela yalisababisha mashabiki kujichukulia sheria mkononi na kufanya uamuzi kama kupiga viongozi wa TFF, wa TPLB au kupiga marefa. Bila ya hivyo hakuna uchochezi. Ameandika Angetile Osiah, Katibu Mkuu wa zamani wa Shirikisho la soka nchini (TFF).
#KitengeTVUpdates

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *