Posted By Posted On

Kiungo wa Simba, Mganda Taddeo Lwanga, ameibuka na kubainisha wazi kwamba yeye hachezi rafu kama wengi wanavyosema badala yake a…

Kiungo wa Simba, Mganda Taddeo Lwanga, ameibuka na kubainisha wazi kwamba yeye hachezi rafu kama wengi wanavyosema badala yake anakuwa anatimiza majukumu yake.

“Hapana, hapana, mimi sichezi rafu, ila kama kiungo mkabaji natakiwa kuwa makini mchezoni muda wote. Kama ningekuwa nacheza hivyo ningekuwa natoka sana mchezoni, lakini sifanyi hivyo hata kidogo.

“Naisaidia timu kushinda mechi zake na hilo ndiyo jambo ambalo nalifanya mara zote, natimiza majukumu yangu kwa kulilinda vyema langu”.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *