Posted By Posted On

Kwa siku kadhaa mfululizo nimeona namna wamiliki na viongozi waandamizi wa GSM wamekuwa mstari wa mbele katika mazoezi ya Yanga….

Kwa siku kadhaa mfululizo nimeona namna wamiliki na viongozi waandamizi wa GSM wamekuwa mstari wa mbele katika mazoezi ya Yanga..
.
Hii ni ishara kuwa GSM wako siriazi na hii project ya Yanga.. Kuna mahali walikwama na sasa hawataki kufanya makosa tena..
.
Yanga ina mechi 10 zimesalia kumaliza msimu.. Kama wataweza kushinda zote, ubingwa utawahusu.. Ila hili halitawezekana kama watu wenye nguvu kubwa kwenye timu kama GSM hawatakuwa mbele..
.
Ni wazi kuwa mashabiki wa Yanga pia wanatamani timu yao ipate mafanikio kama watani zao Simba wanavyotamba huko Afrika.. Lakini hilo litawezekana tu kama GSM wataongeza nguvu wanayoweka klabuni hapo.
.
Mashabiki siku zote wanataka furaha tu.. Na furaha ni timu kufanya vizuri..

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *