Posted By Posted On

Mdhibiti na Mkaguzi wa hesabu za serikal Charles Kichere amesema kuaam klabu ya KMC inadaiwa mill 33 ambazo klabu ya KMC ilikope…

Mdhibiti na Mkaguzi wa hesabu za serikal Charles Kichere amesema kuaam klabu ya KMC inadaiwa mill 33 ambazo klabu ya KMC ilikopeshwa na Halmashauri ya Kinondoni kama mshahara wa mwalimu ambae alikua anafundisha klabu hiyo msimu wa mwaka 2019/2020.
#sportskitaatv #Talentonlinetv

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *