Posted By Posted On

#MICHEZO Ufunguzi wa michuano ya wazi ya tenisi ya Ufaransa umeahirishwa kwa wiki moja, ikiwa ni matumaini kwamba watazamaji zai…

#MICHEZO Ufunguzi wa michuano ya wazi ya tenisi ya Ufaransa umeahirishwa kwa wiki moja, ikiwa ni matumaini kwamba watazamaji zaidi wataruhusiwa kuhudhuria kushuhudia michuano hiyo. Mashindano hayo ya Grand Slam huko Roland Garros sasa yataanza kutoka Mei 30 hadi Juni 13.
#sportskitaatv #Talentonlinetv

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *