Posted By Posted On

Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Charles Kichere masema kuwa katika ukaguzi wa miradi ya kimkakati ukiwemo mradi wa Reli ya Ki…

Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Charles Kichere masema kuwa katika ukaguzi wa miradi ya kimkakati ukiwemo mradi wa Reli ya Kisasa inayoanzia Dar es Salaam hadi Mkutupora Dodoma una Wafanyakazi wengi wa kigeni walioajiriwa bila vibali, suala lililopeleka Serikali kupoteza Tsh. 3,563,070,800

#KitengeTvUpdates

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *