Posted By Posted On

#Repost from @bvrbvra Kiuhalisia timu ya @AlAhlyEgypt inabaki kuwa alama kwa timu za mpira wa miguu barani Afrika. Hii inakwend…

#Repost from @bvrbvra

Kiuhalisia timu ya @AlAhlyEgypt inabaki kuwa alama kwa timu za mpira wa miguu barani Afrika. Hii inakwenda mbali zaidi hadi nje ya uwanja. Kutokana na hayo tunapaswa kuhamasika na vitu kama:
✔️Uwezeshaji na miundombinu
✔️Kiuchumi na miundo na mifumo ya utendaji na uendeshaji
✔️Tathmini ya wachezaji (na mali nyingine)
✔️Uchambuzi wa mitandao wa kijamii
✔️Utendaji wa kimichezo
//
@AlAhlyEgypt truly remains the benchmark for football teams on the continent. This goes beyond the pitch. We should inspired by their:
✔️Facilities & infrastructure
✔️Finance & operational structures
✔️Player (& other asset) valuations
✔️Social media analytics
✔️Sporting performance

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *