Posted By Posted On

SIMBA KUPEWA KEKI NA WAMISRI Baada ya mazoezi yao ya jana jioni kujiandaa na mchezo dhidi ya Al Ahly, kikosi cha klabu ya Simba…

SIMBA KUPEWA KEKI NA WAMISRI

Baada ya mazoezi yao ya jana jioni kujiandaa na mchezo dhidi ya Al Ahly, kikosi cha klabu ya Simba kilipewa zawadi ya Keki na Shirika la ndege la Misri (Eagyptair), kama sehemu ya kuwatakia kheri Simba katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu ikiwezekana kufika fainali.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *