Posted By Posted On

#Tetesi Uongozi wa klab ya Simba umefikia makubaliano ya kumuongezea kandarasi ya mwaka mmoja beki wao Pascal Wawa. BEKI huyu…

#Tetesi

Uongozi wa klab ya Simba umefikia makubaliano ya kumuongezea kandarasi ya mwaka mmoja beki wao Pascal Wawa.
BEKI huyu kisiki amekuwa mhimili mkubwa kutokana na uzoefu wake hasa kwenye mashindano ya kimataifa. Endapo simba watamuongezea mkataba watakuwa wanajihakikishia kuwa salama kutokana na uwezo wa beki huyo raia wa Ivory coast.
#sportskitaatv #Talentonlinetv

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *